|
Normal 0 false false false EN-US X-NONE X-NONE MicrosoftInternetExplorer4
TO HEAR the ENTIRE BIBLE in ENGLISH, go to www.HEARINGtheWORD.posterous.com
For my videos, see www.YOUTUBE.com/vanderKOK
FOR DAILY INSPIRATION (English) see www.cblogs.posterous.com
For Daily News (English) see
www.TheDailyNews4U.posterous.com
For a Free CD Contact Me at VanderKOK@gmail.com
Swahili/English
Mark 14 1. Ilikuwa siku mbili tu kabla ya sikukuu ya Pasaka na ya Mikate Isiyotiwa Chachu. Makuhani wakuu na walimu wa Sheria walikuwa wakitafuta njia ya kumtia Yesu nguvuni kwa hila wamuue. Now the Passover and Unleavened Bread were two days away; and the chief priests and the scribes were seeking how to seize Him by stealth and kill Him; 2. Lakini walisema, "Tusimtie nguvuni wakati wa sikukuu, watu wasije wakafanya ghasia." for they were saying, "Not during the festival, otherwise there might be a riot of the people." 3. Yesu alikuwa Bethania, nyumbani kwa Simoni, Mkoma. Alipokuwa mezani kula chakula, mama mmoja aliyekuwa na chupa ya alabasta yenye marashi ya nardo safi ya thamani kubwa alikuja, akaivunja hiyo chupa, akammiminia Yesu marashi hayo kichwani. While He was in Bethany at the home of Simon the leper, and reclining at the table, there came a woman with an alabaster vial of very costly perfume of pure nard; and she broke the vial and poured it over His head. 4. Baadhi ya watu waliokuwa hapo walikasirika wakajisemea, "Kwa nini kupoteza ovyo marashi haya? But some were indignantly remarking to one another, "Why has this perfume been wasted? 5. Yangaliweza kuuzwa kwa fedha kiasi cha denari mia tatu, wakapewa maskini!" Wakamkemea huyo mama. "For this perfume might have been sold for over three hundred denarii, and the money given to the poor." And they were scolding her. 6. Lakini Yesu akawaambia, "Mwacheni; kwa nini mnamsumbua? Amenitendea jambo jema. But Jesus said, "Let her alone; why do you bother her? She has done a good deed to Me. 7. Maskini mnao daima pamoja nanyi; mnaweza kuwasaidia wakati wowote mnaopenda. Lakini mimi sitakuwapo pamoja nanyi daima. "For you always have the poor with you, and whenever you wish you can do good to them; but you do not always have Me. 8. Yeye amefanya alivyoweza; ameupaka mwili wangu marashi kuutayarisha kwa maziko. "She has done what she could; she has anointed My body beforehand for the burial. 9. Nawaambieni kweli, popote ulimwenguni Habari Njema itakapohubiriwa, kitendo hiki alichofanya kitatajwa kwa ajili ya kumkumbuka." "Truly I say to you, wherever the gospel is preached in the whole world, what this woman has done will also be spoken of in memory of her." 10. Kisha Yuda Iskarioti, mmoja wa wale kumi na wawili, alienda kwa makuhani wakuu ili kumsaliti Yesu. Then Judas Iscariot, who was one of the twelve, went off to the chief priests in order to betray Him to them. 11. Makuhani wakuu waliposikia habari hiyo, walifurahi, wakaahidi kumpa fedha. Basi, Yuda akaanza kutafuta nafasi ya kumsaliti Yesu. They were glad when they heard this, and promised to give him money. And he began seeking how to betray Him at an opportune time. 12. Siku ya kwanza ya sikukuu ya Mikate Isiyotiwa Chachu, wakati ambapo mwana kondoo wa Pasaka huchinjwa, wanafunzi wake walimwuliza, "Wataka tukuandalie wapi karamu ya Pasaka?" On the first day of Unleavened Bread, when the Passover lamb was being sacrificed, His disciples *said to Him, "Where do You want us to go and prepare for You to eat the Passover?" 13. Basi Yesu akawatuma wawili wa wanafunzi wake akiwaambia, "Nendeni mjini, nanyi mtakutana na mtu anayebeba mtungi wa maji. Mfuateni And He *sent two of His disciples and *said to them, "Go into the city, and a man will meet you carrying a pitcher of water; follow him; 14. mpaka katika nyumba atakayoingia, mkamwambie mwenye nyumba, Mwalimu anasema: wapi chumba changu ambamo nitakula Pasaka pamoja na wanafunzi wangu? and wherever he enters, say to the owner of the house, `The Teacher says, "Where is My guest room in which I may eat the Passover with My disciples?"' 15. Naye atawaonyesha chumba kikubwa ghorofani kilichotayarishwa na kupambwa. Tuandalieni humo." "And he himself will show you a large upper room furnished and ready; prepare for us there." 16. Wanafunzi wakaondoka, wakaenda mjini, wakakuta kila kitu sawa kama Yesu alivyokuwa amewaambia. Wakaandaa karamu ya Pasaka. The disciples went out and came to the city, and found it just as He had told them; and they prepared the Passover. 17. Ilipokuwa jioni, Yesu alifika pamoja na wanafunzi wake kumi na wawili. When it was evening He *came with the twelve. 18. Walipokuwa mezani wakila, Yesu alisema, "Kweli nawaambieni, mmoja wenu anayekula pamoja nami, atanisaliti." As they were reclining at the table and eating, Jesus said, "Truly I say to you that one of you will betray Me--one who is eating with Me." 19. Hapo wanafunzi wake wakaanza kuhuzunika, wakamwuliza mmojammoja, "Je, ni mimi?" They began to be grieved and to say to Him one by one, "Surely not I?" 20. Yesu akawaambia, "Ni mmoja wenu ninyi kumi na wawili, anayechovya mkate pamoja nami katika bakuli. And He said to them, "It is one of the twelve, one who dips with Me in the bowl. 21. Kweli Mwana wa Mtu anakwenda zake kama Maandiko Matakatifu yanavyosema juu yake; lakini, ole wake mtu yule anayemsaliti Mwana wa Mtu! Ingalikuwa afadhali kwa mtu huyo kama hangalizaliwa!" "For the Son of Man is to go just as it is written of Him; but woe to that man by whom the Son of Man is betrayed! It would have been good for that man if he had not been born." 22. Walipokuwa wanakula, Yesu alitwaa mkate, akashukuru, akaumega na kuwapa wanafunzi wake akisema, "Twaeni; huu ni mwili wangu." While they were eating, He took some bread, and after a blessing He broke it, and gave it to them, and said, "Take it; this is My body." 23. Kisha akatwaa kikombe, akamshukuru Mungu, akawapa; nao wote wakanywa katika kikombe hicho. And when He had taken a cup and given thanks, He gave it to them, and they all drank from it. 24. Akawaambia, "Hii ni damu yangu inayothibitisha agano la Mungu, damu inayomwagwa kwa ajili ya watu wengi. And He said to them, "This is My blood of the covenant, which is poured out for many. 25. Kweli nawaambieni, sitakunywa tena divai ya zabibu mpaka siku ile nitakapoinywa upya katika Ufalme wa Mungu." "Truly I say to you, I will never again drink of the fruit of the vine until that day when I drink it new in the kingdom of God." 26. Kisha wakaimba wimbo, wakaondoka, wakaenda katika mlima wa Mizeituni. After singing a hymn, they went out to the Mount of Olives. 27. Yesu akawaambia wanafunzi wake, "Ninyi nyote mtakuwa na mashaka nami; maana Maandiko Matakatifu yasema: Nitampiga mchungaji nao kondoo watatawanyika. And Jesus *said to them, "You will all fall away, because it is written, `I WILL STRIKE DOWN THE SHEPHERD, AND THE SHEEP SHALL BE SCATTERED.' 28. Lakini nikisha fufuka, nitawatangulieni kule Galilaya." "But after I have been raised, I will go ahead of you to Galilee." 29. Petro akamwambia "Hata kama wote watakuwa na mashaka nawe na kukuacha, mimi sitakukana kamwe!" But Peter said to Him, "Even though all may fall away, yet I will not." 30. Yesu akamwambia, "Kweli nakwambia, usiku huu, kabla jogoo hajawika mara mbili, utanikana mara tatu." And Jesus *said to him, "Truly I say to you, that this very night, before a rooster crows twice, you yourself will deny Me three times." 31. Lakini Petro akasisitiza, "Hata kama ni lazima nife pamoja nawe, sitakuacha kamwe." Wanafunzi wote pia wakasema vivyo hivyo. But Peter kept saying insistently, "Even if I have to die with You, I will not deny You!" And they all were saying the same thing also. 32. Basi, wakafika katika bustani iitwayo Gethsemane. Yesu akawaambia wanafunzi wake, "Kaeni hapa wakati mimi nasali." They *came to a place named Gethsemane; and He *said to His disciples, "Sit here until I have prayed." 33. Kisha akawachukua Petro, Yakobo na Yohane; akaanza kufadhaika sana na kuhangaika. And He *took with Him Peter and James and John, and began to be very distressed and troubled. 34. Akawaambia, "Nina huzuni kubwa moyoni hata karibu kufa. Kaeni hapa mkeshe." And He *said to them, "My soul is deeply grieved to the point of death; remain here and keep watch." 35. Akaenda mbele kidogo, akajitupa chini kifudifudi, akasali kwamba, kama ingewezekana, asiipitie saa hiyo ya mateso. And He went a little beyond them, and fell to the ground and began to pray that if it were possible, the hour might pass Him by. 36. Akasema, "Baba yangu, kwako mambo yote yanawezekana. Uniondolee kikombe hiki; lakini isiwe kama nitakavyo mimi, bali utakavyo wewe." And He was saying, "Abba! Father! All things are possible for You; remove this cup from Me; yet not what I will, but what You will." 37. Kisha akarudi kwa wanafunzi wale watatu, akawakuta wamelala. Basi, akamwuliza Petro, "Simoni, je umelala? Hukuweza kukesha hata saa moja?" And He *came and *found them sleeping, and *said to Peter, "Simon, are you asleep? Could you not keep watch for one hour? 38. Kisha akawaambia, "Kesheni na kusali ili msije mkaingia katika majaribu. Roho i radhi, lakini mwili ni dhaifu." "Keep watching and praying that you may not come into temptation; the spirit is willing, but the flesh is weak." 39. Akaenda kusali tena akirudia maneno yaleyale. Again He went away and prayed, saying the same words. 40. Kisha akarudi tena, akawakuta wamelala. Macho yao yalikuwa yamebanwa na usingizi. Hawakujua la kumjibu. And again He came and found them sleeping, for their eyes were very heavy; and they did not know what to answer Him. 41. Alipowajia mara ya tatu aliwaambia, "Mnalala bado na kupumzika? Sasa imetosha! Saa imefika! Mwana wa Mtu anakabidhiwa kwa watu waovu. And He *came the third time, and *said to them, "Are you still sleeping and resting? It is enough; the hour has come; behold, the Son of Man is being betrayed into the hands of sinners. 42. Amkeni, twendeni zetu. Tazameni, yule atakayenisaliti amekaribia." "Get up, let us be going; behold, the one who betrays Me is at hand!" 43. Yesu alipokuwa bado anasema, Yuda, mmoja wa wale kumi na wawili, akafika pamoja na umati wa watu wenye mapanga na marungu. Watu hao walikuwa wametumwa na makuhani wakuu, walimu wa Sheria na wazee. Immediately while He was still speaking, Judas, one of the twelve, *came up accompanied by a crowd with swords and clubs, who were from the chief priests and the scribes and the elders. 44. Msaliti Yuda alikuwa amewapa ishara: "Yule nitakayembusu ndiye; mkamateni, mkampeleke chini ya ulinzi." Now he who was betraying Him had given them a signal, saying, "Whomever I kiss, He is the one; seize Him and lead Him away under guard." 45. Yuda alipofika tu, alimwendea Yesu moja kwa moja, akasema, "Mwalimu!" Kisha akambusu. After coming, Judas immediately went to Him, saying, "Rabbi!" and kissed Him. 46. Basi, hao watu wakamkamata Yesu, wakamtia nguvuni. They laid hands on Him and seized Him. 47. Mmoja wa wale waliokuwa wamesimama hapo pamoja na Yesu akauchomoa upanga wake, akampiga mtumishi wa Kuhani Mkuu, akamkata sikio. But one of those who stood by drew his sword, and struck the slave of the high priest and cut off his ear. 48. Yesu akawaambia, "Je, mmekuja na mapanga na marungu kunikamata kana kwamba mimi ni mnyang'anyi? And Jesus said to them, "Have you come out with swords and clubs to arrest Me, as you would against a robber? 49. Kila siku nilikuwa pamoja nanyi nikifundisha Hekaluni, wala hamkunikamata. Lakini sasa lazima Maandiko Matakatifu yatimie." "Every day I was with you in the temple teaching, and you did not seize Me; but this has taken place to fulfill the Scriptures." 50. Hapo wanafunzi wote wakamwacha, wakakimbia. And they all left Him and fled. 51. Kulikuwa na kijana mmoja aliyekuwa anamfuata Yesu akiwa amevaa shuka. Nao wakajaribu kumkamata. A young man was following Him, wearing nothing but a linen sheet over his naked body; and they *seized him. 52. Lakini yeye akaponyoka, akaiachilia ile shuka, akakimbia uchi. But he pulled free of the linen sheet and escaped naked. 53. Basi, wakampeleka Yesu kwa Kuhani Mkuu ambapo makuhani wakuu wote, wazee na walimu wa Sheria walikuwa wamekutanika. They led Jesus away to the high priest; and all the chief priests and the elders and the scribes *gathered together. 54. Petro alimfuata Yesu kwa mbali, akaingia ndani ya ya wa Kuhani Mkuu, akaketi pamoja na walinzi akiota moto. Peter had followed Him at a distance, right into the courtyard of the high priest; and he was sitting with the officers and warming himself at the fire. 55. Makuhani wakuu na Baraza lote wakatafuta ushahidi wa kumshtaki Yesu wapate kumwua, lakini hawakupata. Now the chief priests and the whole Council kept trying to obtain testimony against Jesus to put Him to death, and they were not finding any. 56. Watu wengi walitoa ushahidi wa uongo juu ya Yesu, lakini ushahidi wao haukupatana. For many were giving false testimony against Him, but their testimony was not consistent. 57. Kisha wengine walisimama, wakatoa ushahidi wa uongo wakisema: Some stood up and began to give false testimony against Him, saying, 58. "Tulimsikia mtu huyu akisema, Nitaliharibu Hekalu hili lililojengwa kwa mikono, na kwa siku tatu nitajenga lingine lisilojengwa kwa mikono." "We heard Him say, `I will destroy this temple made with hands, and in three days I will build another made without hands.' " 59. Lakini hata hivyo, ushahidi wao haukupatana. Not even in this respect was their testimony consistent. 60. Basi, Kuhani Mkuu akasimama katikati yao, akamwuliza Yesu, "Je, hujibu neno? Watu hawa wanashuhudia nini dhidi yako?" The high priest stood up and came forward and questioned Jesus, saying, "Do You not answer? What is it that these men are testifying against You?" 61. Lakini yeye akakaa kimya; hakusema hata neno moja. Kuhani Mkuu akamwuliza tena, "Je, wewe ndiwe Kristo, Mwana wa Mungu Mtukufu?" But He kept silent and did not answer. Again the high priest was questioning Him, and saying to Him, "Are You the Christ, the Son of the Blessed One?" 62. Yesu akajibu, "Naam, mimi ndiye. Tena, mtamwona Mwana wa Mtu amekaa upande wa kulia wa Mwenyezi, akija katika mawingu ya mbinguni." And Jesus said, "I am; and you shall see THE SON OF MAN SITTING AT THE RIGHT HAND OF POWER, and COMING WITH THE CLOUDS OF HEAVEN." 63. Hapo Kuhani Mkuu akararua joho lake, akasema, "Tuna haja gani tena ya mashahidi? Tearing his clothes, the high priest *said, "What further need do we have of witnesses? 64. Mmesikia kufuru yake! Ninyi mwaonaje?" Wote wakaamua kwamba anastahili kuuawa. "You have heard the blasphemy; how does it seem to you?" And they all condemned Him to be deserving of death. 65. Basi, baadhi yao wakaanza kumtemea mate, wakamfunika uso, wakampiga na kumwambia, "Bashiri ni nani aliyekupiga!" Hata watumishi wakamchukua, wakampiga makofi. Some began to spit at Him, and to blindfold Him, and to beat Him with their fists, and to say to Him, "Prophesy!" And the officers received Him with slaps in the face. 66. Petro alipokuwa bado chini ukumbini, mmoja wa wajakazi wa kuhani Mkuu alikuja. As Peter was below in the courtyard, one of the servant-girls of the high priest *came, 67. Alipomwona Petro akiota moto, alimtazama, akamwambia, "Hata wewe ulikuwa pamoja na Yesu Mnazareti." and seeing Peter warming himself, she looked at him and *said, "You also were with Jesus the Nazarene." 68. Lakini Petro akakana, "Sijui, wala sielewi unayosema!" Kisha Petro akaondoka, akaenda nje uani. Hapo jogoo akawika. But he denied it, saying, "I neither know nor understand what you are talking about." And he went out onto the porch, and a rooster crowed. 69. Yule mjakazi alipomwona tena Petro, akaanza tena kuwaambia watu waliokuwa wamesimama hapo, "Mtu huyu ni mmoja wao." The servant-girl saw him, and began once more to say to the bystanders, "This is one of them!" 70. Petro akakana tena. Baadaye kidogo, watu waliokuwa wamesimama hapo wakamwambia Petro, "Hakika wewe ni mmoja wao, maana wewe ni Mgalilaya." But again he denied it. And after a little while the bystanders were again saying to Peter, "Surely you are one of them, for you are a Galilean too." 71. Lakini Petro akaanza kulaani na kuapa akisema, "Mimi simjui mtu huyu mnayesema habari zake." But he began to curse and swear, "I do not know this man you are talking about!" 72. Hapo jogoo akawika mara ya pili. Basi, Petro akakumbuka jinsi Yesu alivyokuwa amemwambia: "Kabla jogoo hajawika mara mbili, utanikana mara tatu." Petro akabubujika machozi. Immediately a rooster crowed a second time. And Peter remembered how Jesus had made the remark to him, "Before a rooster crows twice, you will deny Me three times." And he began to weep.
Mark 14
|
| 1. |
Ilikuwa siku mbili tu kabla ya sikukuu ya Pasaka na ya Mikate Isiyotiwa Chachu. Makuhani wakuu na walimu wa Sheria walikuwa wakitafuta njia ya kumtia Yesu nguvuni kwa hila wamuue. |
Now the Passover and Unleavened Bread were two days away; and the chief priests and the scribes were seeking how to seize Him by stealth and kill Him; |
| 2. |
Lakini walisema, "Tusimtie nguvuni wakati wa sikukuu, watu wasije wakafanya ghasia." |
for they were saying, "Not during the festival, otherwise there might be a riot of the people." |
| 3. |
Yesu alikuwa Bethania, nyumbani kwa Simoni, Mkoma. Alipokuwa mezani kula chakula, mama mmoja aliyekuwa na chupa ya alabasta yenye marashi ya nardo safi ya thamani kubwa alikuja, akaivunja hiyo chupa, akammiminia Yesu marashi hayo kichwani. |
While He was in Bethany at the home of Simon the leper, and reclining at the table, there came a woman with an alabaster vial of very costly perfume of pure nard; and she broke the vial and poured it over His head. |
| 4. |
Baadhi ya watu waliokuwa hapo walikasirika wakajisemea, "Kwa nini kupoteza ovyo marashi haya? |
But some were indignantly remarking to one another, "Why has this perfume been wasted? |
| 5. |
Yangaliweza kuuzwa kwa fedha kiasi cha denari mia tatu, wakapewa maskini!" Wakamkemea huyo mama. |
"For this perfume might have been sold for over three hundred denarii, and the money given to the poor." And they were scolding her. |
| 6. |
Lakini Yesu akawaambia, "Mwacheni; kwa nini mnamsumbua? Amenitendea jambo jema. |
But Jesus said, "Let her alone; why do you bother her? She has done a good deed to Me. |
| 7. |
Maskini mnao daima pamoja nanyi; mnaweza kuwasaidia wakati wowote mnaopenda. Lakini mimi sitakuwapo pamoja nanyi daima. |
"For you always have the poor with you, and whenever you wish you can do good to them; but you do not always have Me. |
| 8. |
Yeye amefanya alivyoweza; ameupaka mwili wangu marashi kuutayarisha kwa maziko. |
"She has done what she could; she has anointed My body beforehand for the burial. |
| 9. |
Nawaambieni kweli, popote ulimwenguni Habari Njema itakapohubiriwa, kitendo hiki alichofanya kitatajwa kwa ajili ya kumkumbuka." |
"Truly I say to you, wherever the gospel is preached in the whole world, what this woman has done will also be spoken of in memory of her." |
| 10. |
Kisha Yuda Iskarioti, mmoja wa wale kumi na wawili, alienda kwa makuhani wakuu ili kumsaliti Yesu. |
Then Judas Iscariot, who was one of the twelve, went off to the chief priests in order to betray Him to them. |
| 11. |
Makuhani wakuu waliposikia habari hiyo, walifurahi, wakaahidi kumpa fedha. Basi, Yuda akaanza kutafuta nafasi ya kumsaliti Yesu. |
They were glad when they heard this, and promised to give him money. And he began seeking how to betray Him at an opportune time. |
| 12. |
Siku ya kwanza ya sikukuu ya Mikate Isiyotiwa Chachu, wakati ambapo mwana kondoo wa Pasaka huchinjwa, wanafunzi wake walimwuliza, "Wataka tukuandalie wapi karamu ya Pasaka?" |
On the first day of Unleavened Bread, when the Passover lamb was being sacrificed, His disciples *said to Him, "Where do You want us to go and prepare for You to eat the Passover?" |
| 13. |
Basi Yesu akawatuma wawili wa wanafunzi wake akiwaambia, "Nendeni mjini, nanyi mtakutana na mtu anayebeba mtungi wa maji. Mfuateni |
And He *sent two of His disciples and *said to them, "Go into the city, and a man will meet you carrying a pitcher of water; follow him; |
| 14. |
mpaka katika nyumba atakayoingia, mkamwambie mwenye nyumba, Mwalimu anasema: wapi chumba changu ambamo nitakula Pasaka pamoja na wanafunzi wangu? |
and wherever he enters, say to the owner of the house, `The Teacher says, "Where is My guest room in which I may eat the Passover with My disciples?"' |
| 15. |
Naye atawaonyesha chumba kikubwa ghorofani kilichotayarishwa na kupambwa. Tuandalieni humo." |
"And he himself will show you a large upper room furnished and ready; prepare for us there." |
| 16. |
Wanafunzi wakaondoka, wakaenda mjini, wakakuta kila kitu sawa kama Yesu alivyokuwa amewaambia. Wakaandaa karamu ya Pasaka. |
The disciples went out and came to the city, and found it just as He had told them; and they prepared the Passover. |
| 17. |
Ilipokuwa jioni, Yesu alifika pamoja na wanafunzi wake kumi na wawili. |
When it was evening He *came with the twelve. |
| 18. |
Walipokuwa mezani wakila, Yesu alisema, "Kweli nawaambieni, mmoja wenu anayekula pamoja nami, atanisaliti." |
As they were reclining at the table and eating, Jesus said, "Truly I say to you that one of you will betray Me--one who is eating with Me." |
| 19. |
Hapo wanafunzi wake wakaanza kuhuzunika, wakamwuliza mmojammoja, "Je, ni mimi?" |
They began to be grieved and to say to Him one by one, "Surely not I?" |
| 20. |
Yesu akawaambia, "Ni mmoja wenu ninyi kumi na wawili, anayechovya mkate pamoja nami katika bakuli. |
And He said to them, "It is one of the twelve, one who dips with Me in the bowl. |
| 21. |
Kweli Mwana wa Mtu anakwenda zake kama Maandiko Matakatifu yanavyosema juu yake; lakini, ole wake mtu yule anayemsaliti Mwana wa Mtu! Ingalikuwa afadhali kwa mtu huyo kama hangalizaliwa!" |
"For the Son of Man is to go just as it is written of Him; but woe to that man by whom the Son of Man is betrayed! It would have been good for that man if he had not been born." |
| 22. |
Walipokuwa wanakula, Yesu alitwaa mkate, akashukuru, akaumega na kuwapa wanafunzi wake akisema, "Twaeni; huu ni mwili wangu." |
While they were eating, He took some bread, and after a blessing He broke it, and gave it to them, and said, "Take it; this is My body." |
| 23. |
Kisha akatwaa kikombe, akamshukuru Mungu, akawapa; nao wote wakanywa katika kikombe hicho. |
And when He had taken a cup and given thanks, He gave it to them, and they all drank from it. |
| 24. |
Akawaambia, "Hii ni damu yangu inayothibitisha agano la Mungu, damu inayomwagwa kwa ajili ya watu wengi. |
And He said to them, "This is My blood of the covenant, which is poured out for many. |
| 25. |
Kweli nawaambieni, sitakunywa tena divai ya zabibu mpaka siku ile nitakapoinywa upya katika Ufalme wa Mungu." |
"Truly I say to you, I will never again drink of the fruit of the vine until that day when I drink it new in the kingdom of God." |
| 26. |
Kisha wakaimba wimbo, wakaondoka, wakaenda katika mlima wa Mizeituni. |
After singing a hymn, they went out to the Mount of Olives. |
| 27. |
Yesu akawaambia wanafunzi wake, "Ninyi nyote mtakuwa na mashaka nami; maana Maandiko Matakatifu yasema: Nitampiga mchungaji nao kondoo watatawanyika. |
And Jesus *said to them, "You will all fall away, because it is written, `I WILL STRIKE DOWN THE SHEPHERD, AND THE SHEEP SHALL BE SCATTERED.' |
| 28. |
Lakini nikisha fufuka, nitawatangulieni kule Galilaya." |
"But after I have been raised, I will go ahead of you to Galilee." |
| 29. |
Petro akamwambia "Hata kama wote watakuwa na mashaka nawe na kukuacha, mimi sitakukana kamwe!" |
But Peter said to Him, "Even though all may fall away, yet I will not." |
| 30. |
Yesu akamwambia, "Kweli nakwambia, usiku huu, kabla jogoo hajawika mara mbili, utanikana mara tatu." |
And Jesus *said to him, "Truly I say to you, that this very night, before a rooster crows twice, you yourself will deny Me three times." |
| 31. |
Lakini Petro akasisitiza, "Hata kama ni lazima nife pamoja nawe, sitakuacha kamwe." Wanafunzi wote pia wakasema vivyo hivyo. |
But Peter kept saying insistently, "Even if I have to die with You, I will not deny You!" And they all were saying the same thing also. |
| 32. |
Basi, wakafika katika bustani iitwayo Gethsemane. Yesu akawaambia wanafunzi wake, "Kaeni hapa wakati mimi nasali." |
They *came to a place named Gethsemane; and He *said to His disciples, "Sit here until I have prayed." |
| 33. |
Kisha akawachukua Petro, Yakobo na Yohane; akaanza kufadhaika sana na kuhangaika. |
And He *took with Him Peter and James and John, and began to be very distressed and troubled. |
| 34. |
Akawaambia, "Nina huzuni kubwa moyoni hata karibu kufa. Kaeni hapa mkeshe." |
And He *said to them, "My soul is deeply grieved to the point of death; remain here and keep watch." |
| 35. |
Akaenda mbele kidogo, akajitupa chini kifudifudi, akasali kwamba, kama ingewezekana, asiipitie saa hiyo ya mateso. |
And He went a little beyond them, and fell to the ground and began to pray that if it were possible, the hour might pass Him by. |
| 36. |
Akasema, "Baba yangu, kwako mambo yote yanawezekana. Uniondolee kikombe hiki; lakini isiwe kama nitakavyo mimi, bali utakavyo wewe." |
And He was saying, "Abba! Father! All things are possible for You; remove this cup from Me; yet not what I will, but what You will." |
| 37. |
Kisha akarudi kwa wanafunzi wale watatu, akawakuta wamelala. Basi, akamwuliza Petro, "Simoni, je umelala? Hukuweza kukesha hata saa moja?" |
And He *came and *found them sleeping, and *said to Peter, "Simon, are you asleep? Could you not keep watch for one hour? |
| 38. |
Kisha akawaambia, "Kesheni na kusali ili msije mkaingia katika majaribu. Roho i radhi, lakini mwili ni dhaifu." |
"Keep watching and praying that you may not come into temptation; the spirit is willing, but the flesh is weak." |
| 39. |
Akaenda kusali tena akirudia maneno yaleyale. |
Again He went away and prayed, saying the same words. |
| 40. |
Kisha akarudi tena, akawakuta wamelala. Macho yao yalikuwa yamebanwa na usingizi. Hawakujua la kumjibu. |
And again He came and found them sleeping, for their eyes were very heavy; and they did not know what to answer Him. |
| 41. |
Alipowajia mara ya tatu aliwaambia, "Mnalala bado na kupumzika? Sasa imetosha! Saa imefika! Mwana wa Mtu anakabidhiwa kwa watu waovu. |
And He *came the third time, and *said to them, "Are you still sleeping and resting? It is enough; the hour has come; behold, the Son of Man is being betrayed into the hands of sinners. |
| 42. |
Amkeni, twendeni zetu. Tazameni, yule atakayenisaliti amekaribia." |
"Get up, let us be going; behold, the one who betrays Me is at hand!" |
| 43. |
Yesu alipokuwa bado anasema, Yuda, mmoja wa wale kumi na wawili, akafika pamoja na umati wa watu wenye mapanga na marungu. Watu hao walikuwa wametumwa na makuhani wakuu, walimu wa Sheria na wazee. |
Immediately while He was still speaking, Judas, one of the twelve, *came up accompanied by a crowd with swords and clubs, who were from the chief priests and the scribes and the elders. |
| 44. |
Msaliti Yuda alikuwa amewapa ishara: "Yule nitakayembusu ndiye; mkamateni, mkampeleke chini ya ulinzi." |
Now he who was betraying Him had given them a signal, saying, "Whomever I kiss, He is the one; seize Him and lead Him away under guard." |
| 45. |
Yuda alipofika tu, alimwendea Yesu moja kwa moja, akasema, "Mwalimu!" Kisha akambusu. |
After coming, Judas immediately went to Him, saying, "Rabbi!" and kissed Him. |
| 46. |
Basi, hao watu wakamkamata Yesu, wakamtia nguvuni. |
They laid hands on Him and seized Him. |
| 47. |
Mmoja wa wale waliokuwa wamesimama hapo pamoja na Yesu akauchomoa upanga wake, akampiga mtumishi wa Kuhani Mkuu, akamkata sikio. |
But one of those who stood by drew his sword, and struck the slave of the high priest and cut off his ear. |
| 48. |
Yesu akawaambia, "Je, mmekuja na mapanga na marungu kunikamata kana kwamba mimi ni mnyang'anyi? |
And Jesus said to them, "Have you come out with swords and clubs to arrest Me, as you would against a robber? |
| 49. |
Kila siku nilikuwa pamoja nanyi nikifundisha Hekaluni, wala hamkunikamata. Lakini sasa lazima Maandiko Matakatifu yatimie." |
"Every day I was with you in the temple teaching, and you did not seize Me; but this has taken place to fulfill the Scriptures." |
| 50. |
Hapo wanafunzi wote wakamwacha, wakakimbia. |
And they all left Him and fled. |
| 51. |
Kulikuwa na kijana mmoja aliyekuwa anamfuata Yesu akiwa amevaa shuka. Nao wakajaribu kumkamata. |
A young man was following Him, wearing nothing but a linen sheet over his naked body; and they *seized him. |
| 52. |
Lakini yeye akaponyoka, akaiachilia ile shuka, akakimbia uchi. |
But he pulled free of the linen sheet and escaped naked. |
| 53. |
Basi, wakampeleka Yesu kwa Kuhani Mkuu ambapo makuhani wakuu wote, wazee na walimu wa Sheria walikuwa wamekutanika. |
They led Jesus away to the high priest; and all the chief priests and the elders and the scribes *gathered together. |
| 54. |
Petro alimfuata Yesu kwa mbali, akaingia ndani ya ya wa Kuhani Mkuu, akaketi pamoja na walinzi akiota moto. |
Peter had followed Him at a distance, right into the courtyard of the high priest; and he was sitting with the officers and warming himself at the fire. |
| 55. |
Makuhani wakuu na Baraza lote wakatafuta ushahidi wa kumshtaki Yesu wapate kumwua, lakini hawakupata. |
Now the chief priests and the whole Council kept trying to obtain testimony against Jesus to put Him to death, and they were not finding any. |
| 56. |
Watu wengi walitoa ushahidi wa uongo juu ya Yesu, lakini ushahidi wao haukupatana. |
For many were giving false testimony against Him, but their testimony was not consistent. |
| 57. |
Kisha wengine walisimama, wakatoa ushahidi wa uongo wakisema: |
Some stood up and began to give false testimony against Him, saying, |
| 58. |
"Tulimsikia mtu huyu akisema, Nitaliharibu Hekalu hili lililojengwa kwa mikono, na kwa siku tatu nitajenga lingine lisilojengwa kwa mikono." |
"We heard Him say, `I will destroy this temple made with hands, and in three days I will build another made without hands.' " |
| 59. |
Lakini hata hivyo, ushahidi wao haukupatana. |
Not even in this respect was their testimony consistent. |
| 60. |
Basi, Kuhani Mkuu akasimama katikati yao, akamwuliza Yesu, "Je, hujibu neno? Watu hawa wanashuhudia nini dhidi yako?" |
The high priest stood up and came forward and questioned Jesus, saying, "Do You not answer? What is it that these men are testifying against You?" |
| 61. |
Lakini yeye akakaa kimya; hakusema hata neno moja. Kuhani Mkuu akamwuliza tena, "Je, wewe ndiwe Kristo, Mwana wa Mungu Mtukufu?" |
But He kept silent and did not answer. Again the high priest was questioning Him, and saying to Him, "Are You the Christ, the Son of the Blessed One?" |
| 62. |
Yesu akajibu, "Naam, mimi ndiye. Tena, mtamwona Mwana wa Mtu amekaa upande wa kulia wa Mwenyezi, akija katika mawingu ya mbinguni." |
And Jesus said, "I am; and you shall see THE SON OF MAN SITTING AT THE RIGHT HAND OF POWER, and COMING WITH THE CLOUDS OF HEAVEN." |
| 63. |
Hapo Kuhani Mkuu akararua joho lake, akasema, "Tuna haja gani tena ya mashahidi? |
Tearing his clothes, the high priest *said, "What further need do we have of witnesses? |
| 64. |
Mmesikia kufuru yake! Ninyi mwaonaje?" Wote wakaamua kwamba anastahili kuuawa. |
"You have heard the blasphemy; how does it seem to you?" And they all condemned Him to be deserving of death. |
| 65. |
Basi, baadhi yao wakaanza kumtemea mate, wakamfunika uso, wakampiga na kumwambia, "Bashiri ni nani aliyekupiga!" Hata watumishi wakamchukua, wakampiga makofi. |
Some began to spit at Him, and to blindfold Him, and to beat Him with their fists, and to say to Him, "Prophesy!" And the officers received Him with slaps in the face. |
| 66. |
Petro alipokuwa bado chini ukumbini, mmoja wa wajakazi wa kuhani Mkuu alikuja. |
As Peter was below in the courtyard, one of the servant-girls of the high priest *came, |
| 67. |
Alipomwona Petro akiota moto, alimtazama, akamwambia, "Hata wewe ulikuwa pamoja na Yesu Mnazareti." |
and seeing Peter warming himself, she looked at him and *said, "You also were with Jesus the Nazarene." |
| 68. |
Lakini Petro akakana, "Sijui, wala sielewi unayosema!" Kisha Petro akaondoka, akaenda nje uani. Hapo jogoo akawika. |
But he denied it, saying, "I neither know nor understand what you are talking about." And he went out onto the porch, and a rooster crowed. |
| 69. |
Yule mjakazi alipomwona tena Petro, akaanza tena kuwaambia watu waliokuwa wamesimama hapo, "Mtu huyu ni mmoja wao." |
The servant-girl saw him, and began once more to say to the bystanders, "This is one of them!" |
| 70. |
Petro akakana tena. Baadaye kidogo, watu waliokuwa wamesimama hapo wakamwambia Petro, "Hakika wewe ni mmoja wao, maana wewe ni Mgalilaya." |
But again he denied it. And after a little while the bystanders were again saying to Peter, "Surely you are one of them, for you are a Galilean too." |
| 71. |
Lakini Petro akaanza kulaani na kuapa akisema, "Mimi simjui mtu huyu mnayesema habari zake." |
But he began to curse and swear, "I do not know this man you are talking about!" |
| 72. |
Hapo jogoo akawika mara ya pili. Basi, Petro akakumbuka jinsi Yesu alivyokuwa amemwambia: "Kabla jogoo hajawika mara mbili, utanikana mara tatu." Petro akabubujika machozi. |
Immediately a rooster crowed a second time. And Peter remembered how Jesus had made the remark to him, "Before a rooster crows twice, you will deny Me three times." And he began to weep. |